

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi leo Agosti 31, 2025 amewahutubia Wananchi wa Rorya waliofurika katika uwanja wa Ubwere, ikiwa ni muendelezo wa mikutano yake ya Kampeni kwenye mikoa ya kanda ya ziwa.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi Agosti 31, 2025 amewahutubia Wananchi wa Rorya waliofurika katika uwanja wa Ubwere, ikiwa ni muendelezo wa mikutano yake ya Kampeni kwenye mikoa ya kanda ya ziwa.
Balozi Dkt.Nchimbi ambae ni Mgombea Mwenza wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, pia alimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Rorya, Jafari Chege sambamba na Wagombea Ubunge wengine pamoja na Madiwani wa Mkoa huo.
Dkt. Nchimbi anaendelea na kampeni zake katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, ikiwa ni katika harakati za kuomba ridhaa ya Watanzania kuwaongoza katika awamu nyingine ya miaka mitano, katika Uchaguzi mkuu unaotarajiwa Kufanyika Oktoba 29, 2025.
MZEE JOSEPH BUTIKU ALIVYOIBUKIA KATIKA MKUTANO WA KAMPENI WA DK.EMMANUEL NCHIMBI RORYA
BALOZI DKT.NCHIMBI AWANADI AWANADI WAGOMBEA UBUNGE TARIME.
MONALISA APINGA VIKALI KUVULIWA UANACHAMA ACT.
WAZIRI MKUU AWATAKA TRAMPA KUZINGATIA MAADILI YA KAZI KATIKA UTUNZAJI WA NYARAKA.
KASI YA UJENZI WA VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI MADINI YAONGEZEKA NCHINI TANZANIA
MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KAWE CCM AWAALIKA WANANCHI KUSHIRIKI UZINDUZI WA KAPMPENI AGOSTI 28.
MRADI WA TACTIC KUBADILISHA MANDHARI YA JIJI LA DODOMA
AHADI YA SERIKALI KUFIKISHA UMEME WA GRIDI KAGERA YATEKELEZWA
KASI YA UJENZI WA VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI MADINI YAONGEZEKA NCHINI TANZANIA
WAZIRI MKUU AWATAKA TRAMPA KUZINGATIA MAADILI YA KAZI KATIKA UTUNZAJI WA NYARAKA.